Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, October 1, 2013

MANCHESTER UNITED WAKIJIFUA KUKWAANA NA SHAKHTAR DONETSK - UKRAINE KESHO UEFA CHAMPIONS LEAGUE.

Wayne Rooney akiteleza kuchukua mpira kwa Ashley Young kwenye mazoezi yao kabla ya kuelekea kucheza na Shakhtar Donetsk Ukraine
Rooney ambaye anachezea timu ya Taifa ya Uingereza anatarajiwa kucheza kesho Jumatano kwenye maudiano na timu ya Ukraine -Shakhtar Donetsk

Jumanne Oktoba 1 na Jumatano Oktoba 2 Mashindano ya UEFA CHAMPIONS LEAGUE, UCL, ambayo sasa yapo hatua za Makundi yakiwa na Makundi 8 ya Timu 4 kila moja ambako Timu 2 za juu husonga na kuingia Raundi ya Mtoano ya Timu 32, yataingia Mechi zake za pili baada ya kuanza hapo Septemba 17.  Robin van Persie chini akicheza na mchezaji mwenzake Young kwenye mazoezi yao kabla ya kuelekea Ukraine
Rooney akiteta na kucheka na kocha Phil Neville
Van Persie akiongoza wenzake kwenye mazoezi yao wakijiandaa na Uefa Champions League
Marouane Fellaini akionesha manjonjo yake wakati akipasha kwenye mazoezi
Kipa David de Gea nae alikuwa miongoni mwao akipasha Van Persie akijigamba na kuja kuziona nyavu za Donetsk kesho jumatano wakati wa marudianoKagawa na Chris Smalling wakipiga danadana kwenye mazoezi
Nani (katikati) ni mchezaji anayetarajiwa kupata namba kesho Ukraine
Kocha mkuu Moyes kuwaongoza United Ukraine kesho jumatano
Ferdinand akichota mpira kutoka kwa Rooney wakati wa mazoezi yao kabla ya kuelekea Ukraine leo hii
Midfielders Michael Carrick na Tom Cleverley wakipasha
Ni Ashley Young na Moyes  hapa..
Kazi ya Ziada inatakiwa hapa: Kocha  Moyes kumtumia  Danny Welbeck kwenye kukaba
Ryan Giggs ni mmoja  wa viongozi wa kuwaongoza United pamoja na kocha mkuu  Moyes

Jumatano 2 Oktoba 2013
FC Shakhtar Donetsk v Manchester United FC
Bayer 04 Leverkusen v Real Sociedad de Fútbol
Juventus v Galatasaray A.Ş.
Real Madrid CF FC København
Paris Saint-Germain v SL Benfica
RSC Anderlecht v Olympiacos FC
Manchester City FC v FC Bayern München
PFC CSKA Moskva v FC Viktoria Plzeň

No comments:

Post a Comment