KING CLASS ALIVYOMDUNDA HASSAN BANDA
| Ibrahimu Class akioneshwa mshindi baada ya mpambano kumalizika mpambano huo uliofanyika jumamosi |
| Bondia
Chalo Issa kulia akipambana na Amour Mzungu wakati wa mpambano wao
uliofanyika katika ukumbi wa panandi Panandi Ilala bungoni, Mzungu
alishinda kwa pointi |
| Bondia Shabani Kaoneka kulia akioneshana umahiri wa kutupiana makonde na Halid Makwega wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamosi katika ukumbi wa Panandi Panandi Kaoneka alishinda kwa pointi |
| Bondia Shabani Kaoneka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Halidi Makwega wakati wa mpambano wao Kaoneka alishinda mpambano |
| REFARII AKIMUONESHA MKONO JUU BONDIA SHABANI KAONEKA BAADA YA KUMDUNDA HALIDI MAKWEGA KWA POINT |
Post a Comment