TOTTENHAM YAIFUNGA CRYSTAL PALACE 1-0 VIJANA WA AVB' WAPETA BILA YA BALE! SOLDADO AKIFUNGA BAO LAKE LA KWANZA!
Leo kwenye ligi kuu England
Spurs wakicheza ugenini bao la dakika ya 50 la mkwaju wa penati limewapa ushindi
wa alama tatu muhimu dhidi ya timu iliyopanda ligi msimu huu mpya wa 2013/14
Crystal palace. Tottenham walicheza bila ya Staa wao Gareth Bale ambae
anavumishwa kutaka kwenda Real Madrid lakini hawakupata usumbufu mkubwa kwenye
Mechi hii toka kwa Crystal Palace ambao wamerudi tena Ligi Kuu tangu waondoke
Mwaka 2005.
Soldado akichonga penati
Andre Villas-Boas akiwapa maelekezo wachezaji wake leo hii
jioni 
VIKOSI:
Crystal Palace: Speroni, Ward, Gabbidon, Delaney, Moxey, Jedinak, Dikgacoi, Dobbie (Williams 67), Garvan (Chamakh 67), Wilbraham (Phillips 67), Gayle.Subs: Marange, Alexander, Campana, O'Keefe.
Booked: Jedinak.
Spurs: Lloris, Walker, Dawson, Vertonghen, Rose (Kaboul 86), Sigurdsson, Paulinho, Dembele (Capoue 57), Lennon, Soldado (Defoe 83), Chadli.Subs: Naughton, Townsend, Friedel, Carroll.
Goal: Soldado 50pen.
Referee: Mark Clattenburg (Tyne & Wear)

Post a Comment