Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Friday, August 9, 2013

TANZANIA KWENYE UBORA WA SOKA ULIMWENGUNI, YASHUKA NAFASI 7!, TOP 10 YABAKI ILE ILE

 


FIFA jana imetoa Listi ya Ubora Duniani na 10 Bora imebaki vilevile ikiongozwa na Mabingwa waDunia, Spain, huku Tanzania ikiporomoka Nafasi 7 na kukamata Nafasi ya 128.
Mwezi uliopita Tanzania ilikuwa Nafasi ya 121.
Nchi ya Afrika iliyo juu kabisa ni Ivory Coast ambayo imebaki Nafasi yao ile ile Nafasi ya 18 na kufuatiwa na Ghana iliyo Nafasi ya 24.
Listi nyingine ya FIFA ya Ubora Duniani itatoka Septemba 12.


10 BORA
1. Spain
2. Germany
3.Colombia
4 .Argentina
5 .Netherlands
6 .Italy
7 .Portugal
8 .Croatia
9 .Brazil
10. Belgium

No comments:

Post a Comment