
Msanii maarufu wa kundi la Machozi Band, Lady Jay dee
aliyesimama pembeni akimtambulisha kwa washibiki wake Aliyekuwa mshiriki wa Big
brother wa The chase kutoka Tanzania, Feza Kessy

Aliyekuwa
mshiriki wa Big brother wa The chase kutoka Tanzania, Feza Kessy akisalimiana na
mashabiki wake waliojitokeza katika halfa ya kumkaribisha nyumbani iliyofanyika
Nyumbani lounge

Aliyekuwa
mshiriki wa Big brother wa The chase kutoka Tanzania, Feza Kessy akiwa pamoja na
Vanesa Mdee wakati wa hafla ya kumkaribisha nyumbani iliyofanyika katika ukumbi
wa nyumbani lounge na kudhaminiwa na DSTV na Airt
Post a Comment