Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, July 15, 2013

MASANJA MKANDAMIZAJI NA SHILOLE WAAGWA KWA PARTY LA NGUVU NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI

Afisa Ubalozi Mindi Kasiga (kulia) akimlaki msanii Shilole mara alipofika nyumbani kwa Brigedia Jenerali Maganga Silver Spring, Maryland kwa nyama choma na chakula cha jioni maalum kwa ajili ya kuwaaga wasanii hao Alhamisi July 11, 2013.
Afisa Ubalozi Mindi Kasiga akisalimiana na mwenyekiti wa kamati ya Vijimambo na tamasha la Utamaduni wa Kiswahili Marekani, Baraka Daudi huku msanii Masanja akiangalia .
Msanii Shilole akitia saini kitabu cha wageni.
Msanii Masanja akitia saini kitabu cha wageni.
Wasanii Shilole na Masanja katika picha ya pamoja na wenyeji wao Brigedia Jenerali Maganga na mkewe Love Maganga.
Wasanii Shillole na Masanja wakiendelea na menyu.
Mwenyekiti wa kamati Baraka Daudi (kati) katika pamoja na katibu wa kamati Asha Nyang'anyi (kushoto) na mmoja ya wajumbe wa kamati ya Vijimambo na tamasha la kiswahili Marekani Dj Luke.
Afisa habari Mindi Kasiga akiongea machache.
Brigedia Jenerali Maganga na mkewe Love Maganga wakiongea machache.
Juu na chini ni Masanja akipokea zawadi kutoka kwa Mindi Kasiga na Bgrigedia Jenerali Maganga na mkewe.
Shilole akipokea zawadi kutoka kwa Mindi Kasiga na Bgrigedia Jenerali Maganga na mkewe.
Shilole na Masanja wakitoa shukurani zao.

No comments:

Post a Comment