Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, July 27, 2013

MAN U YATOKA SARE YA 2-2 NA CEREO OSAKA

Last-gasp: Wilfried Zaha celebrates his last-minute equaliser for Manchester United (below)Wilfried Zaha akishangilai goli lake la kusawazisha kwa Manchester United.
Zaha scores United's equaliser David Moyes tayari amesha zungumza kuwa msimu mpya wa ligi kuu ya soka nchini England Barclays Premier League utakuwa mgumu. Manchester United itakuwa na mwanzo mgumu kwani itakuwa inakutana na Chelsea na Liverpool katika michezo ya mwanzoni mwa msimu mwishoni mwa mwezi ujao. Pengine hakutegemea kuona michezo ya ziara ya maandalizi ya kuanza msimu barani Asia na Australia kuwa ni ya kimatokeo zaidi kutengeneza mbinu.Bila shaka michezo ya maandalizi ya kuanza msimu ni juu ya kujenga fitness, huku bao la dakika ya mwisho lililofungwa na Wilfried Zaha hii leo likiiokoa United kupoteza mchezo wake wa tatu wa ziara hiyo kati ya michezo minne waliyocheza. VikosiCerezo Osaka: Jin Hyeon, Sakemoto, Fujimoto, Yama, Maruhashi, Yokoyama, Kusukami, Fabio, Sugimoto, Minamino, EdnoSubs: Takeda, Tada, Moniwa, Araiba, Bando, Yoshino, Edamura, Kurogi, Akiyama, Kogure, MukuharaGoal: Sugimoto 34, Minamino 63
Man United: Lindegaard; Rafael (Fabio 79), Smalling, Ferdinand, Buttner (Evra 79); Young (Cleverley 79), Giggs (Lingard 79), Jones (Anderson 46), Kagawa  (Zaha 58), Welbeck, Van Persie (Januzaj 69)Subs: De Gea, Amos, KeaneGoal: Kagawa 54Bao la dakika ya 91 la Zaha limemfanya Moyes kupata nafuu ya kimatokeo ya michezo yake ya ziarani na akiwa anaelekea katika mchezo wake wa mwisho wa ziara hiyo huko Hong Kong jumatatu. Duel: United striker Danny Welbeck in action as David Moyes' men struggled to a 2-2 drawMshambuliaji wa United Danny Welbeck katika hekaheka za mchezo wao ulimalizika kwa sare ya bao 2-2.
Head in hands: Shinji Kagawa looks distraught after missing a chance in front of his home crowdShinji Kagawa akijilaumu baada ya kukosa goli. 
Star striker: Manchester United's Robin van Persie (centre) shoots past Cerezo Osaka's Tatsuya YamashitaMshambuliaji wa Manchester United Robin van Persie (katikati) akipiga shuti lililompita Tatsuya Yamashita wa Cerezo Osaka.
Pointing it out: Zaha's cameo rescued United a share of the spoils against Japanese side Osaka ZahaBattle: Van Persie and Tatsuya Yamashita fight for the ball tussle for the ballVan Persie na Tatsuya Yamashita.Twisting and turning: Zaha in action during the match, flying down the wing for UnitedWarm up: Van Persie, Danny Welbeck and Ashley Young were put through their paces ahead of the gameWarm up: Van Persie, Danny Welbeck na Ashley Young

No comments:

Post a Comment