Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, July 27, 2013

LICHA YA BARECELONA KUSEMA NO JUU YA FABREGAS KUONDOKA NOU CAMP ARSENAL NAO WAANZA PILIKA ZA KUNASA SAINI YAKE.


Uncertain future: Cesc Fabregas could leave Barcelona for Manchester United, but Arsenal may step in Arsenal ina matumaini kuwa Fabregas ataachana na United na kuelekea kwa mara nyingine tena na wao watalipa kiasi cha pauni milioni £25.
Arsenal iko tayari kupambana na Manchester United kwa ajili ya kunasa saini ya skipperCesc Fabregas kiangazi hii.
Kiungo huyo wa kimataifa wa Hispania ndiye windo la kwanza la meneja mpya wa United David Moyes kaangazi hii.
Taarifa za kidaku zainasema kuwa hii leo mchezaji huyo aliwaambia baadhi ya marafiki zake kuwa anataka kuondoka La Liga na kuelekea Old Trafford.Cesc Fabregas stats

No comments:

Post a Comment