Mkurugenzi
Mkuu wa Kampuni ya Better Dayz Ltd Daniel Sarungi (katikati)
akizungumzia tuzo za Youth of Afrika zitakazotolewa tarehe 25 Mei mwaka
huu ambapo mshindi atapata zawadi ya shilingi milioni 10 na kuhimiza
vijana kujitokeza kushiriki ili kutoa changamoto katika maisha ya sasa
yanayowakabili vijana.
Pichani Juu ni Baadhi ya waremo watakaoshiriki shindano la Tuzo hizo.Picha ya chini Katikati ni Mwalimu wao.
No comments:
Post a Comment