Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, May 8, 2013

TAMASHA LA UZINDUZI WA AIRTEL YATOSHA KATIKA PICHA



Kikundi cha wakali dansi cha Temeke kikitoa burudani katika tamasha la maalum la uzinduzi wa huduma mpya ya Airtel Yatosha lililofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya zakhem-Mbagala jijini Dar es Salaam na kuwavuta maelfu ya watu. (Na Mpiga Picha Wetu)
Mwanadada msanii chipukizi wa Temeke akitoa burudani kwenye tamasha la Airtel yatosha lililofanyika katika viwanja vya zhakem, Mbagala jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki hii. 


Fid Q akipagawisha mashabiki waliohudhuria tamasha hilo.

No comments:

Post a Comment