NEYMAR ASAINI MIAKA MITANO BARCELONA, AIPA KISOGO REAL MADRID,
Mchezaji huyo wa
kimataifa wa Brazil atajiunga na Barcelona kwa mkataba wa miaka mitano baada ya
kukataa ushawishi wa Real Madrid, ambao wanaamini kwamba walitoa ofa nono ya
euro milioni 35.


Lionel Messi (L) of Spain's Barcelona is greeted by Neymar of Brazil's Santos after their Club World Cup final soccer match in Yokohama, south of Tokyo December 18, 2011. (Photo : REUTERS/Toru Hanai (JAPAN - Tags: SPORT SOCCER) )
Post a Comment