Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, May 16, 2013

CHELSEA ILIVYOISAMBARATISHA BENFICA NA KUMBEBA MWALI WA EUROPE LEAGUE

Timu zikijiandaa kabla ya mtanange
Chelsea wakicheza bila ya John Terry na Hazard chini ya kocha wa muda, Mhispania Rafa Benitez kwenye fainali na Benfica ya Ureno katika mchezo wa kwanza wa fainali ya Ligi ya Uropa ligi wamewafunga bao 2-1 na kutwaa ubingwa huo wa Europa ambao wameupata mwishoni baada ya kufunga bao dakika za majeruhi dakika ya 90, Chelsea ndiyo walioanza kupata bao kupitia kwa mchezaji wao
Winners: Chelsea players celebrate winning the Europa League trophy
Winners: Chelsea players celebrate winning the Europa League trophy
Winners: Chelsea players celebrate winning the Europa League trophy
Fernando Torres dakika ya 59 na Benfica nao wakaongeza nguvu na hatimaye mchezaji wa Chelsea kuruka juu na kuunawa mpira eneo hatari la penati na Refa wa Mchezo huo
Bjorn Kuipers kutoka Holland kudai mpira utengwe penati na kisha mchezaji hatari
Óscar Cardozo kuachia mkwaju huo dakika ya 68 na mpira kuishilia nyavuni na kubadilisha matokeo na kufanya 1-1. Dakika za Lala salama Benfica bila wasiwasi na kona hiyo dakika ya nyongeza ya 90 mchezaji Branislav Ivanovic amejitwisha ndoo na kufunga bao na huku kipa wa Benfica Artur Moraes akiangalia mpira huo ukiishilia nyavuni.


Kocha wa England Roy Hodgson naye alikuwepo Amsterdam Arena kushuhudia mtanange huo

Kocha wa Chelsea Rafael Benitez kulia akisuguana na refa kuhusu jambo ambalo limetokea punde uwanjani

Agony and ecstasy: Chelsea players celebrate their triumph while Benfica players collapse to the turf

Agony and ecstasy: Chelsea players celebrate their triumph while Benfica players collapse to the turf
Agony and ecstasy: Chelsea players celebrate their triumph while Benfica players collapse to the turf
Huku Chelsea wakishangilia ushindi huo, Benfica ni taabu kweli kweli.....hoi....

Kwenye patashika..


Hapa kazi tu...
Branislav Ivanovic ameifungia bao kwenye muda wa lala salama

Mchezaji  Frank Lampard akiangalia mambo juu ya mambo uwanjani Amsterdam Arena kabla ya kufungana kipindi cha pili.

Mchezaji wa Benfica Luisao akizuia shuti la  Ramires

Oscar Cardozo akijiuguza  baada ya kuisawazishia  Benfica na kwa mkwaju wa penati na kufanya 1-1



 Cesar Azpilicueta hoi baada ya  Oscar Cardozo kufunga bao kwa mkwaju wa penati


Fernando Torres ndiye aliyeanza kuifungia bao Chelsea kwa kumchenga hadi kipa wao Benfica
VIKOSI:
Benfica: Artur Moraes, Almeida, Luisao, Garay (Jardel 78), Melgarejo (John 66), Perez, Matic, Rodrigo (Lima 66), Gaitan, Cardozo, Salvio.
Subs: Paulo Lopes, Aimar, Urreta, Gomes.
Goal: Cardozo 68pen.
Chelsea: Cech, Azpilicueta, Ivanovic, Cahill, Cole, Lampard, Luiz, Ramires, Mata, Oscar, Torres.
Subs: Turnbull, Mikel, Moses, Ferreira, Marin, Benayoun, Ake.
Goal: Torres 60, Ivanovic 90+3.
Referee: Bjorn Kuipers

No comments:

Post a Comment