Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, April 16, 2013

WAANDJI WA MISS DAR INDIAN OCEAN WAANZA MCHAKATO WA KUMPATA MREMBO 2013/14



Meneja Mipango na Biashara wa Makumbusho ya Taifa, Irene Mvile akizungumza wakati wa Mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam jana .Katikati ni Miss Dar Indian Ocean anayemaliza muda wake, Diana Hussein.
 Miss Dar Indian Ocean anayemaliza muda wake akizungumza wakati wa Mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaa wakati wa kuanza kwa mchakato wa shindano la Miss Dar Indian Ocean litakalofanyika mwishoni mwa mwezi huu. Kulia ni mwandaji wa shindano hilo, Glory Mongella.
 Mwandaaji wa shindano la Miss Dar Indian Ocaen, Glory Mongella akizungumza wakati wa kutangaza siku ya shindano hilo,
 Warembo watakaoshiriki shindano hilo wakimsikiliza Mwalimu wao , Salum (kulia) kabla ya Mkutano na waandishi wa habari
 Warembo wakiwa katika Picha ya pamoja katika Ukumbi wa Nyumbani Lounge.



Warembo wakiwa katika Picha ya pamoja katika Ukumbi wa Nyumbani Lounge

No comments:

Post a Comment