Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, April 13, 2013

MICAH RICHARDS WA MANCHESTER CITY AWA STAA WA TATU KUFUNGIWA MIEZI SITA KWA MAKOSA YA MWENDOKASI

Banned: Richards received a six month ban from drivingORODHA ya wachezaji wa klabu tajiri ya Manchester City kufungiwa kuendesha magari kutokana na makosa mbalimbali ya barabarani imeongezeka baada ya Micah Richards naye kufungiwa kuendesha gari miezi sita. Carlos Tevez na Samir Nasri tayari wamepewa adhabu inayofanana na hiyo wiki iliyopita, huku Tevez pia akiamriwa kufanya kazi za kijamii kwa saa 250 kwa kuendesha wakati amefungiwa na bila leseni. Richards alikiri makosa mawili ya kushindwa kumtaja aliyekuwa akiendesha gari lake aina ya Ferrari ambalo lilikamatwa likiwa katika mwendo mkali jijini Manchester, Septemba mwaka jana. Mchezaji alijitetea kuwa alishindwa kuepeleka vielelezo vilivyohitajika kwa muda kutokana na shughuli nyingi zilizomtinga.
Taxi for Richards: The Manchester City defender will have to find alternative methods of getting to work
Richards defender wa Manchester City ilibidi apande Teksi baada ya kupewa adhabu hiyo ya miezi sita ili aweze kuendelea na kazi zake

Me too: Carlos Tevez arrives at training on Friday
Carlos Tevez arrives at training on Friday
And me: Samir Nasri has also been banned for six-months for driving offences
Samir Nasri has also been banned for six-months for driving offences
Not behind the wheel: Carlos Tevez arrives at training in the passenger seat of his Pporsche Panamera Sports Car
Carlos Tevez arrives at training in the passenger seat of his Pporsche Panamera Sports Car
In the dock: Tevez arrives at Macclesfield Magistrates Court where he was ordered to carry out 250 hours of community service
 Tevez arrives at Macclesfield Magistrates Court where he was ordered to carry out 250 hours of community service

No comments:

Post a Comment