ASERNAL YAIFUNGA NORWICH MABAO 3-1 NA KUJIKITA NAFASA YA TATU
Lakini Norwich watalalamika sana kuhusu Bao la kusawazisha la Arsenal la Penati ambayo ilianza kwa Arsenal kupewa Kona isiyostahili na kisha Mshika Bendera kumuashiria Refa ni Penati baada ya Kona hiyo kupigwa kwa madai Mchezaji wa Norwich alimvuta Jezi Mchezaji wa Arsenal.
Kipa wa Norwich Mark Bunn akimfokea linesman juu ya utoaji penati, hata hivyo kipa amepewa kadi ya njano na penati hiyo kupigwa na kusawazisha kuwa 1-1
Olivier Giroud akiangukia nyavuni na huku mchezaji Sebastien Bassong akijifunga bao
Jack Wilshere naye amecheza mechi ya leo baada ya kupona majeraha aliyokuwa nayo
VIKOSI:
Arsenal: Fabianski, Sagna (Oxlade-Chamberlain 80), Vermaelen, Koscielny, Gibbs, Arteta, Wilshere (Walcott 59), Ramsey, Cazorla, Giroud, Gervinho (Podolski 59).
Subs not used: Mannone, Monreal, Jenkinson, Coquelin.
Booked: Sagna.
Goals: Arteta 85 (pen), Bassong o.g. 88, Podolski 90.
Norwich: Bunn, Martin, Whittaker, Bassong, Turner, Johnson (Fox 62), Snodgrass, Howson, Tettey (Jackson 90), Holt, Kamara.
Subs not used: Camp, Garrido, R Bennett, Fox, E Bennett, Jackson, Becchio.
Booked: Snodgrass, Bunn.
Goal: Turner 56.
Post a Comment