MANCHESTER CITY ILIVYOIGARAGAZA MAN UNITED JANA,
Timu zote mbili zilianza kwa kukamiana sana kila timu ikitaka kumfunga mwenzake.Timu ya City ikifanya mashambulizi zaidi ya United. Dakika ya 29 mchezaji wa Manchester City David Silva akaunawa mpira kwa kujificha na mwamuzi Mike Dean akamwona na kumpa kadi ya njano.
Mchezaji wa United Patrice Evra akipiga mpira kwa kichwa juu James Milner to a header
Van Persie akiachia shuti kali na hatimaye mchezaji Kompany kuzuia shuti hilo
Hapa hupiti hata ukizunguka....mchezaji wa City Tevez akiwa amezungukwa na wachezaji wa United
Kompany akionekana kwenye picha na refa Dean baada ya kupewa kadi ya njano

Wachezaji wa City wakimpongeza Milner




Wachezaji wa City wakimpongeza Milner
Wachezaji wa City wakimpongeza Milner baada ya kufunga bao la pili.
Kipa wa City Hart akidaka hewa baada ya frii kiki ya Van Persie na Kompany kujifunga
Mchezaji Jones aliyesababisha bao la United kupatikana baada Kompany kujifunga akishangilia
Kazi kweli kweli...Tumejifunga...
Kimbiza kimbiza ya Aguero ikazaa bao...

Fantastc finish ...Aguero akishangilia bao lake la pili na la ushindi.
VIKOSI:
Man United: De Gea; Rafael, Ferdinand, Jones, Evra; Carrick, Giggs; Young (Kagawa 90+2), Rooney (Hernandez 85), Welbeck (Valencia 80); Van Persie.
Subs not used: Lindegaard, Nani, Cleverley, Buttner.
Booked: Rooney, Rafael, Valencia.
Goal: Kompany (OG) 59.
Man City: Hart; Zabaleta, Kompany, Nastasic, Clichy; Y Toure, Barry; Milner, Silva (Lescott 89), Nasri (Aguero 71); Tevez (Javi Garcia 90+4).
Subs not used: Pantilimon, K Toure, Kolarov, Dzeko.
Booked: Silva, Kompany, Tevez, Barry, Zabaleta.
Goals: Milner 51, Aguero 78.
Referee: Mike Dean.
MSIMAMO ULIVYO KWA SASA TIMU 5 ZA JUU
| 2012-2013 Barclays Premier League Table | |||||||||||||||||||||||
| Overall | Home | Away | |||||||||||||||||||||
| POS | TEAM | P | W | D | L | F | A | W | D | L | F | A | W | D | L | F | A | GD | Pts | ||||
| 1 | Manchester United | 31 | 25 | 2 | 4 | 71 | 33 | 14 | 0 | 2 | 40 | 17 | 11 | 2 | 2 | 31 | 16 | 38 | 77 | ||||
| 2 | Manchester City | 31 | 19 | 8 | 4 | 57 | 27 | 11 | 3 | 1 | 35 | 11 | 8 | 5 | 3 | 22 | 16 | 30 | 65 | ||||
| 3 | Chelsea | 31 | 17 | 7 | 7 | 61 | 33 | 10 | 4 | 2 | 35 | 13 | 7 | 3 | 5 | 26 | 20 | 28 | 58 | ||||
| 4 | Tottenham Hotspur | 32 | 17 | 7 | 8 | 55 | 40 | 8 | 5 | 3 | 24 | 17 | 9 | 2 | 5 | 31 | 23 | 15 | 58 | ||||
| 5 | Arsenal | 31 | 16 | 8 | 7 | 61 | 34 | 9 | 3 | 3 | 39 | 20 | 7 | 5 | 4 | 22 | 14 | 27 | 56 | ||||
MECHI 3 ZA MANCHESTER UNITED ZIJAZO
Tarehe 14.4. 2013 - Stoke (A) Prem
17.4.2013 - West Ham (A) Prem
22.4.2013 - Aston Villa (H) Prem
MECHI 3 ZA MANCHESTER CITY ZIJAZO
Tarehe 14.4.2013 Chelsea (A) FAC
15.4.2013 West Brom (H) Prem (Umehairishwa)
17.4.2013 Wigan (H) Prem
Post a Comment