Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, April 9, 2013

MADEE, NEY WA MITEGO NA FID Q WAPAGAWISHA MASHABIKI TAMASHA LA AIRTEL YATOSHA COCO BEACH


Ney wa Mitego msanii wa muziki wa Kizazi kipya Bongofleva akifanya jukwaani vitu vyake kwenye ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es salaam jana jioni katika tamasha la “Airtel Yatosha Concert” Wasiliana ndani na nje ya mtandao kwa bei poa kuanzia 349/= dakika 10 kupiga mitandao yote SMS 100 na 25MB Piga *149*99# utaona faida yake, katika tamasha hilo wamehudhuria mashabiki wengi wa muziki wa kzazi kipya na kupata burudani kutoka wasanii mbalimbali wakiwemo Madee wa TIPTOP Connection, Fid Q na wengine wengi. 
Msanii Madee kutoka kundi la TIPTOP Connection akifanya vitu vyake jukwaani huku mashabiki lukuki wakishuhudia. 
Fid Q akipagawisha mashabiki wake katika tamasha hilo 
Meneja Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Jackson Mmbando akimkabidhi fulana mmoja wa wateja wa Airtel aliyeelezea vizuri kampeni ya Airtel Yatosha 
Meneja Uhusiano wa kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Jackson Mmbando akizungumza na wateja wa Airtel na mashabiki waliojitokeza katika tamasha la Airtel Yatosha kwenye ufukwe wa Coco Beach leo jioni. 
Kikundi cha burudani kikitoa burudani kwa kuigiza kutangaza taarifa ya habari ya Televisheni Mashabiki hawatulii wote mikono juu 
Hawa ilibidi waangalie burudani wakiwa juu ya miti 
Kazi ya kuwaunganisha wateja na mtandao wa Airtel ilikuwa ikiendelea kama kawaida 
Kundi zima la TIPTOP Connection likishabulia jukwaani

No comments:

Post a Comment