Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, April 11, 2013

LICHA YA CHELSEA KUFUNGWA NA FK RUBIN KAZAN MABA0 3-2 ITAENDELEA NA EUROPA NDOGO





Mchezo wa Europa Ligi kati ya FK Rubin Kazan na Chelsea Fc umemalizka kwa Chelsea kufungwa bao 3-2.
Ushindi huo haujaipeleka popote FK Rubin Kazan, baada ya kutolewa kwa jumla ya magoli 4-5 kwani Chelsea mchezo wa awali ilishinda bao 3-1
Mabao ya Chelsea yalifungwa na Fernando Torres dakika ya tano na  Victor Moseshuku dakika ya 55 na ya Kazan yalifungwa na Ivan Sierra Marcano dakika ya 51, Gokdeniz Karadeniz dakika ya 62 na  Bebars Natcho kwa penalti dakika ya 75.
Chelsea itaendelea na michuano hiyo ya Europa ndogo

No comments:

Post a Comment