Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, April 23, 2013

JULIO CESAR ACHAFULIWA KWA KUVAA JEZI YA CHELSEA

Kipa wa QPR Julio Cesar amejikuta yuko matatani na Klabu yake baada ya Picha yake kuzagaa Mtandaoni ikimwonyesha amevaa Jezi ya Chelsea. 

Cesar, mwenye Miaka 33 na Mchezaji wa Kimataifa wa Brazil, alijiunga na QPR kutoka Inter Milan ya Italy mwanzoni mwa Msimu na tayari ameshaidakia QPR mara 26 lakini ameshindwa kuzuia Timu hiyo isiwe hatarini kushushwa Daraja kwani ipo nafasi ya Pili toka mkiani na huenda ikaporomoka Wikiendi hii ikiwa matokeo yatakuwa mabovu kwao.

Picha hiyo ya Cesar na Jezi ya Chelsea ilipigwa akiwa pamoja na Beki wa Chelsea, David Luiz, ambaye pia ni Mchezaji wa Brazil, wakisheherekea Siku ya Kuzaliwa ya Luiz.
QPR imethibitisha kuhusu kuwepo kwa Picha hiyo na kutamka suala hilo litashughulikiwa ndani ya Klabu.


JEZI YAMTIA MATATANI CESAR!! How many Chelsea players can you spot? Paulo Ferrerira as Robin (bottom left), Oscar as Zorro (centre), Eden Hazard in a Brazil shirt (right), Nathan Ake as Superman (top right), Ramires and Luiz as Chelsea Pensioners (centre)
Don't eat too much! Luiz had two cakes including one with the word 'geezer' onWakisheherekea Siku ya Kuzaliwa ya Luiz.
Robin Hood? Marko Marin with Luiz, dressed in a little green outfit
Marko Marin na Luiz

No comments:

Post a Comment