Imepita miezi mitatu tu tangu Izzo alipoachia single yake akiwa na Ngwea na Quick "Ball Player", na jumamosi hii anategemea kuachia single nyingine mpya "Love Me" ambayo ipo ki mapenzi zaidi akiwa na Shaa pamoja na Barnaba. pamoja na kuwa itasikika live kwa mara ya kwanza ndani ya |Ambassadors, kutakuwepo na perfomance kutoka kwa Izzo mwenyewe, Shaa pamoja na Barnaba.Be the first kuisikiliza na kushuhudia prfomance zao kabla ya mtu mwingine yoyote, media yoyote..this saturday kwa sh 10,000 tu.
No comments:
Post a Comment