BORUSSIA DORTMUND YAIFUNGA MALAGA MABAO 3-2 KWENYE MCHEZO WA UEFA CHAMPIONS LEAGUE
Borussia Dortmund 3 vs Malaga

Mchezaji wa Malaga Joaquin ndiye aliyeanza kuwashona Dortmund dakika ya 25 baada ya makosa ya mabeki kutokea na mchezaji wa Malaga kuwachenga mabeki na kutupia na dakika ya 40 mchezaji wa Dortmund Robert Lewandowski akasawazisha bao hilo kwa kuwapita wachezaji pamoja na kipana kufanya 1-1 na kipindi cha kwanza kuisha. Kipindi cha pili dakika ya 82 mchezaji wa Malaga Eliseu akapachika bao la pili na kuwaweka Dortmund kwenye wasiwasi kubwa.

Joaquin akishangilia na wenzake baada ya kuiwasha Borussia Dortmunddakika ya 25
Marco Reus na Martin Demichelis wakichuana vikali usiku huu.

Ilikuwa furaha kubwa sana kwa timu ya Dortmund kwenye muda wa dakika za lala salama, Wachezaji wakicheza kwa presha kubwa na bila kukata tamaa dakika hizo za za 90 wakapata neema ya kurudisha bao na kufunga bao la kukata tiketi ya kuwasongesha mbele zaidi. mchezaji Marco Reus akafunga bao dakika ya 90' +1' na mchezaji Felipe Santana akafunga bao dakika ya 90' +2.
Borussia Dortmund wameshinda kwenye dakika za majeruhi bao 2 zote...hakunaga..
Joaquin akiwapatia Malaga bao dakika ya 25

kwenye patashika usiku huu...

Lewandowski akishangilia Iduna Park

Marco Reus akishangilia baada ya kuwapatia Dortmund bao dakika za mwishoni
Santana akaongeza sumu golini dakika za nyongeza akawapachikia bao jingine

mambo ya Santana kwenye nyavu...

Santana akiwanyamazisha ..... Malaga...usiku huu

Raha jipe mwenyewe.... kocha wa Dortmund Klopp ....Raha ya ukocha jamani hiiiiii....

Furaha ya Santana iliongezeka baada ya kupongezwa na wachezaji wenzie pamoja na kocha wake Klopp
VIKOSI:
Joaquin akishangilia na wenzake baada ya kuiwasha Borussia Dortmunddakika ya 25
Robert Lewandowski akipitisha mpira juu ya kipa na kusawazisha

Wachezaji wa Malaga na Dortmund kazini...

Wachezaji wa Malaga na Dortmund kazini...
Borussia Dortmund wameshinda kwenye dakika za majeruhi bao 2 zote...hakunaga..
kwenye patashika usiku huu...
Lewandowski akishangilia Iduna Park
mambo ya Santana kwenye nyavu...
Santana akiwanyamazisha ..... Malaga...usiku huu
Raha jipe mwenyewe.... kocha wa Dortmund Klopp ....Raha ya ukocha jamani hiiiiii....
Furaha ya Santana iliongezeka baada ya kupongezwa na wachezaji wenzie pamoja na kocha wake Klopp
VIKOSI:
Borussia Dortmund: Weidenfeller, Piszczek, Subotic, Felipe Santana, Schmelzer, Gundogan (Hummels 86), Bender (Sahin 72), Blaszcykowski (Schieber 72), Gotze, Reus, Lewandowski.
Subs Not Used: Langerak, Kehl, Leitner, Grosskreutz.
Booked: Bender, Schmelzer.
Goals: Lewandowski 40, Felipe Santana 90, Reus 90.
Malaga: Willy, Jesus Gamez, Demichelis, Sergio Sanchez, Antunes, Joaquin (Francisco Portillo 87), Toulalan, Camacho, Duda (Eliseu 74), Isco, Julio Baptista (Santa Cruz 83).
Subs Not Used: Kameni, Lugano, Saviola, Piazon.
Booked: Jesus Gamez, Toulalan.
Goals: Joaquin 25, Eliseu 82.
Att: 65,000
Ref: Craig Thomson (Scotland).

Post a Comment