Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, March 6, 2013

MANCHESTER UNITED YATOTA KWA REAL MADRID, YAKUBALI KICHAPO CHA 2-1 KOMBE LA UEFA




Ronaldo baada ya kufunga goli la pili, akinyanyua mikono juu kwa kuifunga timu yake ya zamadi Manchester United.

Cristiano Ronaldo scored the goal that sent Manchester United crashing out of the Champions League against Real Madrid, although referee Cuneyt Cakir was the true Old Trafford villain after he sent Nani off as the Spaniards triumphed 2-1 on the night for a 3-2 aggregate scoreline.

United were extremely comfortable sitting on a 1-0 lead given to them by Sergio Ramos' 48th-minute own goal, but a red card for Nani - harshly given for dangerous play - changed the entire complexion of the contest.

Instantly Jose Mourinho sacrificed a defender for Luka Modric, who produced a breathtaking equaliser to square the tie. Then, almost inevitably, the largely ineffective Ronaldo had his moment as he slid home Gonzalo Higuain's cross to leave ten-man United needing two goals to rescue their European dream - a task that proved beyond them.




Lukas akiachia shuti kali ambalo limeenda hadi nyavuni na kufanya 1-1





Ramos akinyoosha kujichoma nyavuni muda mfupi baada ya mapumziko
Sergio akijifunga goli dakika ya 48

....REFA CUNEYT CAKIR KUTOKA UTURUKI akitoa kadi kwa Nani
Nani akishangaa kupata kadi nyekundu hiyo
Kocha wa United Mzee Ferg akilalamika baada ya refa mturuki kutoa kadi nyekundu kwa Nani.

Rooney akipasha kabla ya kuingia na wenzake
Sehemu ya Manchester United, kocha pamoja na benchi zima la united wakifatilia mtanange huo

Manchester United wakikosa kosa goli hapa


Vidic akitupia na hatimaye kugonga posti na kurudi kwa kipa mpira huo.


Giggs akicheza mechi yake ya 1,000 leo dhidi ya Real madrid


Ronaldo tangu auzwe Real Madrid leo ilikuwa ni mara yake ya kwanza kukanyanga uwanjani hapo

Ronaldo akikaribishwa kwa mara nyingine nyumbani Old Trafford

Ronaldo akipokea mpira safi na kukatiza katikati ya Giggs na Da Silva
Ronaldoakipitisha mpira katikati ya miguu ya Cleverley leo Old trafford
mhhhh...!! kweliWelbeck akivutwa shati na Ramos
VIKOSI:
Man United: De Gea, Da Silva (Valencia 87), Vidic, Ferdinand, Evra, Carrick, Cleverley (Rooney 73), Nani, Welbeck (Young 80), Giggs, van Persie.
Subs not used: Lindegaard, Evans, Hernandez, Kagawa.
Booked: Evra, Carrick
Sent off: Nani 57.
Scorer: Ramos (OG) 48.
Real Madrid: Diego Lopez, Arbeloa (Modric 59), Varane, Sergio Ramos, Fabio Coentrao, Khedira, Alonso, Di Maria (Kaka 42), Ozil (Pepe 71), Ronaldo, Higuain.
Subs not used: Adan, Benzema, Albiol, Callejon.
Booked: Arbeloa, Pepe
Scorers: Modric 67, Ronaldo 69.
Referee: Cuneyt Cakir (Turkey)
Attendance: 74,959



RATIBA/MATOKEO
Jumanne 5 Machi 2013
Borussia Dortmund 3 v Shakhtar Donetsk 0 [Agg 5-2]
Man United 1 v Real Madrid 2 [Agg 2-3]

Jumatano 6 Machi 2013
Juventus v Celtic [3-0]
Paris St Germain v Valencia [2-1]
Jumanne 12 Machi 2013
Barcelona v AC Milan
Schalke v Galatasaray

Jumatano 13 Machi 2013
Bayern Munich v Arsenal
Malaga v FC Porto

Mechi zote kuanza Saa 4 Dak 45 Usiku

No comments:

Post a Comment