Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, March 3, 2013

LIVERPOOL ILIPOILAZA WIGAN ATHLETIC 4-0 JANA USIKU

Majogoo Liverpool wakiwa ugenini huko DW Stadium, Luis Suarez alifunga Bao 3 na kuipa Liverpool ushindi wa Bao 4-0 katika Mechi ya ligi kuu BPL, Barclays Premier League, na kuwafanyawakamate nafasi ya 7 wakiwa Pointi 3 nyuma ya Mahasimu wao Everton. Nyota wa Mechi hii kwa Liverpool alikuwa Mbrazil Philippe Coutinho ambaye alitengeneza Bao mbili za kwanza walizofunga Stewart Downing na Suarez.
Bao hizo 3 za Suarez zimemfanya awe ndiyo Mfungaji Bora wa BPL kwa sasa akiwa na Magoli 21 akifuatiwa na Robin van Persie mwenye Bao 19.Impressive: Coutinho assisted the first two goals at DW Stadium in a promising performanceCoutinho alionesha kiwango cha hali ya juu jana usiku DW Stadium
Opener: Stewart Downing headed home from inside the six-yard box to give Liverpool the lead
Stewart Downing akifunga goli kwa kichwa jana usiku Dw Stadium
Free header: Downing was unmarked in the centre from Philippe Coutinho's cross
Downing
Flying start: Downing's goal set the tone at DW Stadium as he scored inside two minutes
Downingakifunga goli ugenini kwenye uwanja wa DW Stadium
Lead: Steven Gerrard congratulates Downing after the first goal
Steven Gerrard akimpongeza Downing baada ya kufunga goli la kwanza

Cruising: Suarez latched on to Coutinho's pass to double Liverpool's lead
Suarez akiipatia Liverpool goli
Quick: The Uruguayan's first goal put Liverpool 2-0 ahead inside 20 minutes
Ndani ya dakika 20 Liverpool walikuwa wameishafunga bao 2
Game, set and match: The Uruguayan completed his hat-trick just after half-time to put Liverpool 4-0 ahead
VIKOSI:
Wigan: Al Habsi, Scharner, Caldwell (Espinoza 51), Figueroa, Boyce, McCarthy, McArthur, Beausejour (McManaman 61), Kone, Di Santo (Alcaraz 52), Maloney.
Subs not used: Robles, Henriquez, Gomez, Stam.
Booked: Caldwell, McArthur.
Liverpool: Reina, Johnson, Carragher, Agger, Jose Enrique, Gerrard, Lucas, Allen, Downing, Suarez, Coutinho (Henderson 70).
Subs not used: Gulacsi, Assaidi, Coates, Suso, Shelvey, Wisdom.
Goals: Downing 2, Suarez 18, 34, 49.
Booked: Lucas, Allen.
Att: 20,804.
Referee: Martin Atkinson


RATIBA/MATOKEO
Jumamosi Machi 2

Chelsea 1 West Bromwich Albion 0
Everton 3 Reading 1
Manchester United 4 Norwich City 0
Southampton 1 Queens Park Rangers 2
Stoke City 0 West Ham United 1
Sunderland 2 Fulham 2
Swansea City 1 Newcastle United 0
[Saa 2 na Nusu Usiku]
Wigan Athletic 0 v Liverpool 4


RATIBA WIKI IJAYO
Jumamosi Machi 9
[Saa 12 Jioni]
Norwich City v Southampton
Queens Park Rangers v Sunderland
Reading v Aston Villa
West Bromwich Albion v Swansea City
Jumapili Machi 10
[Saa 12 Jioni]
Newcastle v Stoke City
[Saa 1 Usiku]
Liverpool v Tottenham Hotspur
Jumamosi Machi 16
[Saa 9 Dak 45 Mchana]
Everton v Manchester City
[Saa 12 Jioni]
Aston Villa v Queens Park Rangers
Southampton v Liverpool
Stoke City v West Bromwich Albion
Swansea City v Arsenal
[Saa 2 na Nusu Usiku]
Manchester United v Reading
Jumapili Machi 17
[Saa 10 na Nusu Jioni]
Sunderland v Norwich City
[Saa 12 Jioni]
Tottenham v Fulham
[Saa 1 Usiku]
Wigan Athletic v Newcastle United
Chelsea v West Ham

No comments:

Post a Comment