Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, March 18, 2013

AMA KWELI SOKA MCHEZO WA KIUNGWANA KWANI MCHEZAJI GIORGOS KADITIS AFUNGIWA MAISHA TIMU YA TAIFA BAADA YA KUSHANGILIA KWA KUTOA SALUTI YA HITLER

Kiungo wa AEK Athens, Giorgos Katidis amefungiwa kutokana na kushangilia kwa kutumia saluti ya kinazi.
Katidis alionyesha ishara hiyo ya jeshi la zamani la Nazi lililokuwa chini ya Fashist Adolf Hitler na leo Shirikisho la Soka la Ugiriki limetangaza kumfungia maisha kuichezea timu zote za timu ya taifa.
Kiungo huyo mwenye miaka 20 tayari amesema hakuwa na nia mbaya huku akilaani vyombo vya habari kulikuza suala hilo.
Yeye amesisitiza alikuwa akimuonyesha kidole mchezaji mwenzake, Michalis Pavlis aliyekuwa mbele yake kwa lengo la kuonyesha furaha yake.

Klabu yake tayari imeeleza inasubiri maelezo kutoka kwa kiungo huyo ambaye siku hiyo alifunga bao la ushindi kwa timu yake hiyo.Katidis will not be eligible to represent his country at any level after his alleged salute 
Katidis wrote on Twitter: 'I am not racist in any way.

Giorgos Katidis raises his hand in a Nazi-style salute, as his teammate Roger Guerreiro looks on

No comments:

Post a Comment