VIGOGO WA SOKA WAJITOKEZA KUOMBA KUGOMBEA NAFASI ZA URAIS WA SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI (TFF)
| Athuman Nyamlani akiwasili ofisi za shirikisho la soka nchini (TFF) kuchukua fomu |
| Nyamlani akilipa pesa za fomu |
| Anasaini kuwa amechukua fomu |
| Nyamlani akikabidhiwa fomu yake |
| Anaondoka ofisi za TFF |
| Anaongea na waandishi wa habari |
| Nyamlani akiwa na wapambe waliomsindikiza |
| Jamali Malinzi akirudisha fomu kwenye ofisi za TFF kwani alichukua online kwenye website ya TFF na kulipa fedha kupitia benki |
| Malinzi anakabishi fomu ndani ya moja ya ofisi za TFF |
| Akisaini kwenye register kama karudisha fomu |
Post a Comment