BONANZA LA WACHEZAJI WA ZAMANI LILILOFANYIKA VIWANJA VYA SIGARA TEMEKE NA KUDHAMINIWA NA NMB BENKI LATIA FORA
| Idd Moshi aka Mnyamwezi akisalimia na Angetile Oseah baada ya mchezo kumalizika, Mirambo Tabora ilifungwa bao 2-1 na Kombaini ya Dar es salaam |
| Shabiki akitoa burudani na Mbwiga kwenye bonanza |
| Mwamuzi Mwandike akitoka uwanjani baada ya mchezo kumalizika |
| Mirambo Tabora waliovaa jezi za njano na kombaini ya Dar es salaam waliovaa blue wakitoka uwanjani baada ya mchezo kumalizika |
| Hiki ni kikosi cha Milambo ya Tabora. |
| Hiki ni kikosi cha Kombaini ya wachezaji mbalimbali kilichocheza na Milambo. |
| Hawa ni wachezaji wa Yanga wa zamani Salvatori Edward Agustino na Silvatus Ibrahimu enzi hizo akiitwa polisi. |
| Waamuzi wa zamani kutoka kushoto ni Christopha Mpangala, Victor Mwandike, mzee Ally na mzee Makwega. |
| Simba na Bandari Iddi Selemani Nyigu akimkaba mtu mpaka kivuli kama zamani. |
| Iddi Selemani na Willy Martini gari kubwa. |
| Barnabasi Sekelo akikokota mpira. |
| Mlinzi wa Simba Kamba Lufo akimdhibiti mshambuliaji wa Bandari. |
| Abubakari Kombo na Primus Kasonzo wakati wa mapumziko. |
| Abdalah Kaburu wa Ushirika ya Moshi mwenye jezi nyekundu timu yake ilishindwa kushiriki hii leo. |
| Omari Hussein maarufu kama Keegan alikuwepo katika Bonanza. |
| Milambo wakisalimiana na Dar Kombaini kabla ya mchezo baina yao. |
Post a Comment