Meneja Mkazi Zuku Tanzania, Fadhili Mwasyeba akizungumza wakati wa
mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo wakati wa kutia
saini makubaliano ya Ushirikiano na Kampuni ya Zuku Pay Tv, ambapo
wateja wa Zuku watalipia ada zao za mwezi kupitia huduma ya Maxmalipo. Kulia ni Mkuu wa Uendeshaji Kampuni ya Maxmalipo, Ahmed Lussasi.
Mkuu wa Uendeshaji Kampuni ya
Maxmalipo, Fadhili Lussasi akizungumza katika mkutano na waandishi wa
habari jijini Dar es Salaam leo.
No comments:
Post a Comment