Baadhi ya vifaa vilivyokabidhiwa kwa akijili ya masdhindano ya Mayor Cup
Sehemu ya vifaa vya michezo vilivyokabidhiwa na NMB
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa
Benki ya NMB, Imani Kajula akizungumza katika hafla ya kukabidhi vifaa
vya michezo kwa Meya wa Kinondoni, Yusuf Mwenda (katikati) kwa ajili ya
mashindano ya Kombe la Meya wa Manispaa ya Kinondoni. Kushoto ni Naibu
Meya, Songoro Mnyonge.
Meya wa Kinondoni, Yusuf Mwenda akizungumza katika hafla hiyo. Kulia ni Mkuu wa Masoko na Mawasiliano NMB, Imani Kajula.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano NMB,
Imani Kajula akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya sh milioni 10
kwa Meya wa Kinondoni, Yusuf Mwenda.
Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuf Mwenda (katikati) akipokea kombe kutoka kwa Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya NMB, Imani Kajula ambalo ni sehemu ya zawadi alizokabidhiwa jijini Dar es Salaam jana kwa ajili ya mashindano ya Kombe la Meya wa Manispaa ya Kinondoni. Kushoto ni Naibu Meya, Songoro Mnyong
No comments:
Post a Comment