MSHINDI WA MAISHA PLUS SEASONS3 AKABIDHIWA KITITA CHAKE LEO
| Meneja wa Tawi la NMB, Makao Makuu Benadicta Byabato akimkabidhi mshindi wa maisha plus seasons3 Bernick Kimiro milioni 20 leo kwenye ofisi za benki yake leo |
| Bernick Kimiro akiwa amekumbatia milioni 20 zake alizozisotea maisha plus seasons3 |
| Bernick Kimiro akiwa na kaka yake Abdulazizi Abasi wakifurahia mshiko |
| Bernick Kimiro akiwa na Abdulazizi Abasi (kaka yake) na Rachel Ndauka (rafiki yake) wakifurahia mkwanja |
| Mtoto Amarisa Sevuri akiwa ameshika kitita cha Bernick Kimiro na Rachel Ndauka ambaye ni rafiki yake na Bernick Kimiro |
| Bernick Kimiro akikabidhiwa mkwanja wake na Francis Bonda (kushoto) na David Sevuri (kulia0 |
| Bernick Kimiro akiwa ndani ya moja ya ofisi za NMB kusubiri kukabidhiwa mkwanja wake |
| Rahma Masoud akimpa Bernick Kimiromaelezo ya jinsi ya kufungua akaunti |
| Bernick Kimiro akijaza jinsi fomu ya kufungua akaunti na huku Mfanyakazi wa NMB Rahma Masoud akifuatilia kwa makini |
| Bernick Kimiro akifungua akaunti NMB leo huku Abdulazizi Abasi (kaka yake) akifuatilia kwa makini |
Post a Comment