MATUKIO MBALIMBALI KATIKA MCHEZO WA SIMBA NA YANGA
| Ernie Brandts kocha wa Yanga akiwasili uwanjani |
| Milovan Circovic kocha wa Simba akiwasili uwanjani |
| Wachezaji wa Yanga wakishuka kwenye basi |
| Wachezaji wa Simba wakishuka kwenye basi |
| Wachezaji wa Yanga wakipasha kabla ya mchezo kuanza |
| Wachezaji wa Simba wakipasha kabla ya mechi kuanza |
| Baadhi ya mashabiki wa Yanga waliohudhuria |
| Baadhi ya mashabiki wa Simba waliohudhuria |
| :"Nakutakia mchezo mwema" Makocha wakitakiana kila la kheri |
| Beki wa Yanga Kelvin Yondani akitolewa nje kwa machela baada ya kuumia |
| Waamuzi wakitoka uwanjani |
| Daniel Akuffo na Yaw Berko ambao ni raia wa Ghana wakisalimia baada ya mchezo kumalizika |
| Hivi ndivyo matokeo yalivyosomeka baada ya dakika 90 |

Post a Comment