MASHINDANO YA TENESI GYMKHANA YANOGA
![]() |
| Mchezaji Thomaas Jacob akijiandaa kusave mpira kwa mchezaji mwenzake Benard Anthony jana kwenye viwanja vya gymkhana jijini Dar es salaam |
![]() |
| Yohana Mwila akipeana fair play na MosesMabula baada ya mchezo wao jana kwenye viwanja vya Gymkhana |
![]() |
| Mchezaji mwenye ulemavu Benard Anthony akirudisha mpira kwa mpinzani wake Thomas Jacob kwenye mashindano ya Tenisi yanayodhaminiwa na Simba Cement kwenye viwanja vya Gymkhana jijini Dar es salaam |




Post a Comment