![]() |
| Wachezaji waliochaguliwa kutoka kwenye mashindano ya copa coca cola yaliyomalizika hivi karibuni wakiwa mazoezini kwenye uwanja wa Karume jijini Dar es salaam |
![]() |
| Hapa wanamaliza mazoezi wakitoka uwanjani na kocha wao Silvester Marsh |
![]() |
| Hapa kocha mkuu Kim Poulsen anawapa mawaidha baada ya mazoezi |
![]() |
| Wapo kwenye sala ya pamoja baada ya mazoezi |
![]() |
| Wanakunywa maji baada ya mazoezi |
![]() |
| Kuingia tu ameumia enker. Hapa mchezaji anapatiwa matibabu na daktari wa timu |






Post a Comment