Mshambuliaji Fatuma Mustapha wa Sayari akikimbilia mpira ambao beki wa Uzuri alikuwa anaondoa langoni mwao wakati wa mchezo uliochezwa uwanja wa Karume

Kiungo mshambuliaji wa Sayari Husna Ayoub akijaribu kumiliki mpira uliokuwa kwenye himaya yake


Mshambuliaji wa Uzuri Jamila Kassim akipiga cross kuelekea lango la wapinzani wao Sayari juzi kwenye mchezo wa kiporo ilichezwa uwanja wa Karume

No comments