Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, September 12, 2023

BARNABAS ELIAS BALOZI WA HAKIMILIKI



Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Damas Ndumbaro akimkabidhi Cheti cha Utambulisho Msanii Barnaba  Elias ambaye ameteuliwa kuwa Balozi wa Hakimiliki Tanzania kwenye hafla ya Uzinduzi wa Bodi ya COSOTA na Bodi ya Bodi Filamu Septemba 12, 2023 Jijini Dar es Salaam.

Tukio hilo limehudhuriwa na Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Hamis Mwinjuma, Katibu Mkuu, Saidi Yakubu na Viongozi wa Taasisi hizo na Mashirikisho ya Sanaa.


No comments:

Post a Comment