Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeihirisha Kesi ya utakatishaji fedha
inayomkabili Rais wa Klabu ya Simba, Evans Aveva na makamu wake, Geofrey Nyange
maarufu Kaburu hadi August 16 mwaka huu kwa sababu upelelezi haujakamilika.
Kesi hiyo ilitajwa leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa na wakili wa serikali, Elia Athanas ambaye amedai upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika, hivyo anaomba ipangiwe tarehe nyingine.
Kesi hiyo ilitajwa leo mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Godfrey Mwambapa na wakili wa serikali, Elia Athanas ambaye amedai upelelezi wa kesi hiyo haujakamilika, hivyo anaomba ipangiwe tarehe nyingine.
Hakimu Mwambapa alikubali maombi ya wakili wa Serikali Athanas na
aliahirsha kesi hiyo hadi August 16 mwaka huu.Kesi ya Kaburu na Aveva,
Upelelezi bado haujakamilika
Aveva na Kaburu wamerudishwa tena mahabusu mpaka kesi yao itakapotajwa tena.
Aveva na Kaburu wamerudishwa tena mahabusu mpaka kesi yao itakapotajwa tena.
No comments:
Post a Comment