Niyonzima
aliwasili nchini jana usiku na asubuhi kujumuika na wenzake katika mazoezi kwa
ajili ya mchezo wa Simba day dhidi ya Rayon ambayo inatarajiwa kufanyika kesho
katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Akizungumza
na gazeti hili Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Habari wa klabu hiyo, Haji
Manara alisema Niyonzima, Emmanuel Okwi na Nicholas Gyan wanatarajiwa
kutambulishwa pamoja na wachezaji wenzake.
No comments:
Post a Comment