Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, April 30, 2017

BONDIA ANTONY JOSHUA ALIVYOMCHAKAZA KLITSCHKO

Mwamuzi  David Fields kutoka Marekani akimuondoa bondia Anthony Joshua (kushoto) huku mpinzani wake, Wladimir Klitschko akijikokota kuinuka baada ya kuanguka na kushindwa kuendelea na pambano raundi ya 11 usiku wa jana Uwanja wa Wembley, London.  Kwa ushindi huo wa KO raundi ya 11, Anthony Joshua ametwaa mataji ya IBF, WBA na IBO na ndiye anakuwa bingwa mpya asiyepingika wa uzito wa juu duniani 

Anthony Joshua defeated Wladimir Klitschko to claim the IBF, WBA and IBO world heavyweight titles at Wembley on Saturday
The former heavyweight champion of the world returned to his feet but was swiftly dropped with another combinationThe moment of victory for Joshua as he realises that Klitschko isn't going to return to his feet in the eleventh roundField holds Joshua's hand up to signify the Brit's victory in front of 90,000 supporters at the home of English football