Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Tuesday, August 9, 2016

TFF YAIPONGEZA SIMBA KWA KUFIKISHA MIAKA 80
SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limepongeza klabu ya Simba kwa kufikisha umri wa miaka 80 tangu kuanzishwa kwake.
Akizungumza na wandishi wa habari, Katibu Mkuu wa TFF, Selestine Mwesigwa alisema TFF, linachukua nafasi hii kuipongeza Simba kwa utamaduni wa kusheherekea siku yao maarufu kama Simba day.
"Uongozi wa Simba kwa takribani miaka saba sasa, wamekuwa wakiazimisha siku yao kila Agosti 8, na wamekuwa wakifanya shughuli mbalimbali za kijamii, watu wengine wanaweza kuona jambo la kawaida lakini hili ni la kuigwa na kupongezwa", alisema Mwesigwa.
Pia Mwesigwa alisema kupitia Simba day imesaidia kuweka kumbukumbu ya kuanzishwa klabu hiyo ambako wanachama na mashabiki wanapata fursa ya kufahamu historia ya timu yao.
Mwesigwa alitoa kwa uongozi na wanachama wa Simba kuendeleze utamaduni huo wa kuadhikmisha wiki hadi siku ya Simba katika kuenzi historia ya klabu hiyo ambayo ina mchango