Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, December 26, 2015

DIAMOND PLATNUMZ ALIVYOPAGAWISHA DAR LIVE

Diamond Platnumz akisema na mashabiki wake waliofurika Dar Live usiku wa kuamkia leoDiamond akicheza na mashabiki wake waliofurika Dar Live.
Akicheza na wacheza shoo wake wa kike.Nyomi ya kufa mtu ndani ya Dar Live wakiendelea kumshangilia Diamond.Wacheza shoo wa kike wa Diamond wakifanya yao.Diamond akiwachombeza mashabiki. Diamond akicheza na wacheza shoo wake wa kiume. 
Diamond akifanya yake na wacheza shoo wake.Diamond baada ya kuwakonga nyoyo mashabiki wake waliofurika Dar Live na wao kuridhika aliamua kupozi nao kwa picha hii. Nyomi ya kutisha ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live.