Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Saturday, December 26, 2015

BONDIA THOMASI MASHALI AMALIZA UFALME WA FRANCIS CHEKA NYUMBANI KWAO MOROGORO


Bondia Thomas Mashali (kushoto) akioneshana umwamba na Fransic Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika Morogoro. Mashali alishinda kwa point katika mpambambano huo wa raundi kumi.
Bondia Thomas Mashali (kushoto) akikwepa konde kwa umahiri mkubwa lililorushwa na bondia Fransic Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika Morogoro. Mashali alishinda kwa point katika mpambambano huo wa raundi kumi.

Mabondia wa kike Lulu Kayage kushoto na Mwanne Haji wakioneshana umwamba katika mpambano wao wa ubingwa wa raundi kumi ambapo Lulu Kayage alibuka bingwa wa TPBC kwa kumpiga Mwanne kwa point. Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Lulu Kayage kushoto akimtwanga ngumi Mwanne Haji wakati wa mpambano wao wa ubingwa Lulu alishinda kwa point katika mpambano uho wa raundi kumi .

Mabondia Mwanne Haji kushoto akipambana na Lulu Kayage wakati wa mpambano wao Lulu alishinda kwa point

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipambana na Deo Njiku wakati wa mpambano wao wa raundi sita Mbilinyi aslishinda kwa point mpambano huo.

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akipambana na Deo Njiku wakati wa mpambano wao wa raundi sita Mbilinyi aslishinda kwa point mpambano huo.

MABONDIA VICENT MBILINYI KUSHOTO SHABANI KAONEKA NA IMAN DAUDI MAPAMBANO WAKIMSHANGILIA USHINDI WA MBILINYI

No comments:

Post a Comment