
Ulipitwa na Birthday Party ya Simon Msuva? kama ilikupita basi mtandao huu unakupa fursa ya kushuhudia matukio yote yaliyojiri kwenye party hiyo iliyofanyika usiku wa December 3 wakati mchezaji huyo wa Yanga na Taifa Stars alikpokuwa akiadhimisha siku yake ya kuzaliwa.
Picha zinazoonesha matukio mbalimbali yaliyojiri kwenye party hiyo zitakufanya ujione uliwa miongoni mwa watu waliokuwepo kwenye party hiyo.
Timu ya ushindi kutoka shaffihdauda.co.tz ilikuwepo eneo la tukio ili kukufanya wewe uwe karibu na matukio yaliyojiri usiku huo. Angalia picha za matukio hayo kuanzia mwanzo mpaka mwisho.

















No comments:
Post a Comment