Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Wednesday, October 14, 2015

SHEREHE ZA WANAMICHEZO KUMUAGA RAIS KIKWETE MLIMANI CITY




Rais Kikwete akipokea tuzo maalum ya mchango wake mkubwa katika sekta ya michezo katika kipindi cha miaka yake 10 ya utawala wake, kutoka kwa Mwenytki wa TASWA, Juma Abbas Pinto (kulia). Kulia kabisa ni Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa (BMT), Dioniz Malinzi na kushoto ni Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Dk. Fenella Mukangara

Rais Kikwete akimkabidhi tuzo kocha Charles Boniface Mkwasa kwa kuiwezesha timu ya soka ya taifa ya wanawake kushiriki Fainali za Mataifa ya Afrika. Mkwasa kwa sasa ni kocha wa timu ya wanaume, Taifa Stars

Rais Kikwete akimkabidhi tuzo bondia, Francis Cheka kwa kutwaa ubingwa wa dunia wa WBF

Rais Kikwete akimkabidhi tuzo Dioniz Malinzi kwa kujenga Uwanja wa Gofu wilaya ya Misenyi mkoani Kagera

Rais Kikwete akimkabidhi tuzo aliyekuwa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kwa kujenga mfumo bora wa utawala ndani ya shirikisho hilo

Rais Kikwete akimkabidhi tuzo Mtangazaji nguli, Abdallah Majura kwa kuanzisha kituo chake cha Radio

Rais Kikwete akimkabidhi tuzo Meneja Mkuu wa makampuni ya Bakhresa Group, Sheikh Said Muhammad kutokana na mchango mkubwa wa kampuni hiyo katika soka  

Rais wa sasa wa TFF, Jamal Malinzi akimkabidhi Ngao Rais Kikwete

Mfanyabishara Farough Baghozah (kulia) akiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Ikulu, Salva Rweyemamu (kushoto) 

No comments:

Post a Comment