Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Sunday, March 31, 2013

MANCHESTER UNITED YAIFUNGA SUNDELAND 1-0

Manchester United wamepiga hatua kubwa mbele ya kutwaa Ubingwa wao wa 20 baada ya kuifunga Sunderland Bao 1-0 huko Stadium of Light na sasa wanaongoza Ligi wakiwa Pointi 18 mbele ya Timu ya Pili, Man City, ambayo jana inacheza na Newcastle
Bao pekee la Man United lilifungwa baada ya Shuti kali la Robin van Persie kuwababatiza Mabeki wa Sunderland Bardsley na Titus Bramble na kutinga wavuni katika Dakika ya 27
Van Persie alikosa Bao la wazi katika Dakika za majeruhi wakati Kipa Simon Mignolet alipookoa shuti lake walipokabiliana uso kwa uso. 

Mbali ya kupata ushindi mtamu, Man United sasa wamecheza zaidi ya Dakika 660 kwenye Ligi bila kufungwa Bao hata moja.
Man United wamebakiza Mechi 8 za Ligi na, kwa hali ilivyo sasa, wakishinda Mechi 4 tu kati ya hizo wao ni Mabingwa bila kujali matokeo mengine.
Manchester United's Shinji Kagawa, right, vies for the ball with Sunderland's Alfred N'DiayeManchester United's Robin Van Persie, right, celebrates his goal with his teammates Robin Van Persie, centre, celebrates his goalManchester United's manager Alex FergusonSunderland's Titus Bramble (left) makes a challenge on Manchester United's AndersonRobin Van Persie and Sunderland's Titus Bramble (left) battle for the ballSunderland's Titus Bramble (L) challenges Manchester United's Ashley Young Manchester United's Robin Van Persie shoots at goal
VIKOSI: 
Sunderland: Mignolet, Bardsley (Larsson 78), Bramble, O'Shea, Rose (Colback 85), Johnson (Wickham 76), Gardner, N'Diaye,McClean, Sessegnon, Graham.
Subs not used: Westwood, Kilgallon, Mangane, Mandron.
Booked: N'Diaye, O'Shea, Bardsley.

Manchester United: De Gea, Da Silva (Evans 32), Vidic, Smalling, Buttner, Valencia, Carrick, Anderson (Cleverley 84), Young, Kagawa (Welbeck 78), van Persie.
Subs not used: Lindegaard, Evra, Nani, Powell.
Booked: Van Persie.
Goals: Bramble 27 og.
Attendance: 43,760
Referee: Kevin Friend

No comments:

Post a Comment