![](http://i1.mirror.co.uk/incoming/article6220302.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
Gomis akishangilia kwa aina yake baada ya kusawazisha bao
![](http://i1.mirror.co.uk/incoming/article6220531.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
John Terry akimzonga mwamuzi baada ya kipute
![](http://i3.mirror.co.uk/incoming/article6220546.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
Lawama zote kwa Waamuzi
![](http://i4.mirror.co.uk/incoming/article6220538.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
Kocha
Jose Mourinho nae yale yale akitembeza maneno Uwanjani hii leo, lakini
kilichoonekana wazi ni kwamba alichukia kuona dokta wa timu kuingia
kumtibu Uwanjani Eden Hazard wakati muda umeisha na bila kuwasiliana na
meza kubwa.
![](http://a.espncdn.com/combiner/i/?img=/photo/2015/0808/fc_as_courtoissentoff_1296x729.jpg&w=904&h=509&scale=crop&site=espnfc)
Nje!! Out!
![](http://i1.mirror.co.uk/incoming/article6220540.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
Jose
Mourinho akitoa akitupia jambo kidole, kwamba alichukia kuona dokta wa
timu kuingia kumtibu Uwanjani Eden Hazard wakati muda umeisha na bila
kuwasiliana na meza kubwa na huku wakiwa pungufu uwanjani.
![](http://i3.mirror.co.uk/incoming/article6220520.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
Patashika kwenye lango kipa Lukasz akiokoa
![](http://i3.mirror.co.uk/incoming/article6220124.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
1-1
![](http://i2.mirror.co.uk/incoming/article6220123.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
Ayew akipongezwa baada ya kusawazisha
![](http://i3.mirror.co.uk/incoming/article6219986.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
kwa mbali Chelsea wakiwa hoi
![](http://i3.mirror.co.uk/incoming/article6220137.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
Kipa hakuonna ndani
![](http://i3.mirror.co.uk/incoming/article6220533.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
Sehemu ya Chelsea wakishangaa maamuzi ya refa kwenda kombo na wao
![](http://i3.mirror.co.uk/incoming/article6220506.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
Diego Costa akipagawa chini baada ya refa kupeta
![](http://i2.mirror.co.uk/incoming/article6220415.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
Radamel Falcao aliingizwa kipindi cha pili lakini hakuleta mapya
![](http://i2.mirror.co.uk/incoming/article6220406.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
Federico na Diego Costa
![](http://i3.mirror.co.uk/incoming/article6220407.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
Eden Hazard akituliza mpira kiuzuri
![](http://i1.mirror.co.uk/incoming/article6220390.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-v-Swansea-City.jpg)
Jose Mourinho akitoa maelezo kwa Wachezaji wake
![](http://i2.mirror.co.uk/incoming/article6220274.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-v-Swansea-City.jpg)
Gomis akiisawazishia bao Swansea na kufanya 2-2
![](http://i4.mirror.co.uk/incoming/article6220276.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-v-Swansea-City.jpg)
Kipa mwingine aliingia kujaza nafasi baada ya kuoneshwa kadi nyekundu yule wa kwanza Courtois
![](http://i1.mirror.co.uk/incoming/article6220196.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-v-Swansea-City.jpg)
Kipa Courtois akimkanyaga kwa teke tumboni Gomis
![](http://i4.mirror.co.uk/incoming/article6220305.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
Mpaka chini..
Swansea wanasawazisha bao kwa mkwaju wa penati kupitia kwa Gomis dakika ya 55 na kufanya 2-2.
Kipa wa Chelsea anaoneshwa kadi nyekundu Courtois!
Chelsea wanapata pigo na kuaki 10 uwanjani stamford Bridge!
Penati.....
Andre
Ayew aliisawazishia bao Swansea dakika ya 29 kwa kufanya 1-1, Chelsea
walizinduka na kupata zawadi ya bao la kuongoza la pili lililozama
langoni mwa lango la Swansea kwa kubabatizwa kupitia kwa Federico
Fernández na kujifunga kupitia kwa shuti kali la Willian. Kwa sasa Chelsea wanaongoza kwa bao 2-1
![](http://i1.mirror.co.uk/incoming/article6219984.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
kipa Lukasz na mpira langoni walipojifunga
![](http://i3.mirror.co.uk/incoming/article6219911.ece/ALTERNATES/s1227b/Chelsea-vs-Swansea-City.jpg)
Oscar akishangilia bao lake lililozama moja kwa moja kupitia shuti lake la mpira wa adhabu kipindi cha kwanza na kufanya 1-0.
![](http://a.espncdn.com/combiner/i/?img=/photo/2015/0802/soc_g_costa_b1_1296x729.jpg&w=904&h=509&scale=crop&site=espnfc)
Diego Costa kaanza.
VIKOSI:
Swansea: Fabianski, Naughton, Fernandez, Williams, Taylor, Ki Sung-Yueng, Shelvey, Sigurdsson, Ayew, Montero, Gomis
Chelsea: Courtois; Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta; Matic, Fabregas; Willian, Oscar, Hazard; Diego Costa
USHINDI DHIDI YA SWANSEA CITY![](https://pbs.twimg.com/media/CL5gnveWwAAid3g.jpg)
No comments:
Post a Comment