
Bao za Man City zilifungwa na Sergio Aguero, Bao 2, na Navaro Algredo, Bao 3 na Bao za CSKA kufungwa na Seydou Doumbia.

Sergio Aguero akishangilia baaada ya kuwauwa Russian CSKA Moscow

Negredo akitupia la tano na la mwisho na hapa alikuwa anapeana mkono na David Silva baada ya kufunga bao la kwanza.



Mashabiki wa City wakiwa wamebeba bango juu la kukomesha ubaguzi baada ya Mechi ya kwanza kukumbwa na ubuguzi huko Russia. Kipigo cha Jana kiliondolea mbali tuhuma hizo na kuzipotezea kwa mbali baada ya timu ya CSKA kutoonekana kama washindani wazuri.

Negredo akiwapa salamu mashabiki wake uwanjani Etihad

Ilikuwa rahisi sana ni kusogeza tuu!

Negredo akiitimisha hat-trick yake safi hapa!!

Kipa aliyeshika nafasi ya Hart - Costel Pantilimon akifurahia baada ya City kuwanyeshea mvua ya mabao

Kipa Joe Hart aliuangalizia kwenye benchi.
Jumanne 5 Nov 2013
FC Shakhtar Donetsk v Bayer 04 Leverkusen
Real Sociedad de Fútbol v Manchester United FC
Juventus v Real Madrid CF
FC København v Galatasaray A.Ş.
Paris Saint-Germain v RSC Anderlecht
Olympiacos FC v SL Benfica
Manchester City 2 v CSKA Moscow 0*
FC Viktoria Plzeň v FC Bayern München
No comments:
Post a Comment