Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, October 5, 2015

LUKAKU AKIISAWAZISHIA BAO EVERTON KWENYE DERBY YA MERSEYSIDE

Everton walisawazisha bao kupitia kwa Romelu Lukaku dakika ya 45' +1 na mtanange kwenda mapumziko kwa bao 1-1 kipindi cha pili hakuna aliyefanikiwa kupata bao. Hadi dakika 90 zinamalizika ni 1-1 hivyo dabi yao ya Merseyside kumalizika kwa sare ya 1-1.

Liverpool ndio walianza kupata bao lao dakika ya 41 baada ya kupigwa kona na yeye mwenyewe Danny Ings kuunganisha kwa kichwa na kufanya Liverpool itangulie kwa bao 1-0
Chupuchupu zipigwe!Kipute kinaendelea.. kipindi cha kwanza...Mashabiki wa Liverpool wakiwa tayari kushuhudia kipute punde cha Everton vs LiverpoolMerseyside derby
VIKOSI:
Everton:
Howard, Browning, Jagielka, Funes Mori, Galloway, McCarthy, Barry, Deulofeu, Barkley, Naismith, Lukaku.
Subs: Robles, Gibson, Oviedo, Kone, Lennon, Osman, Holgate.

Liverpool: Mignolet, Can, Skrtel, Sakho, Clyne, Milner, Lucas, Moreno, Coutinho, Sturridge, Ings.
Subs: Gomez, Lallana, Allen, Origi, Ibe, Bogdan, Rossiter.
Referee: Martin Atkinson
Kikosi cha Liverpool

No comments:

Post a Comment