Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Thursday, July 30, 2015

KITITA ATAKACHO ATAKACHO CHUKUA BINGWA WA KAGAME CUP

110210_dollars_reuters_ap_605

Michuano imefikia hatua ya nusu fainali baada ya kufanyika robo fainali zenye mvuto. Zaidi ya heshima ya kikombe kinachoshindaniwa kwenye haya mashindano pia kuna donge nono ambalo limewekwa kwa ajili ya club itakayobeba ndoo.
Kama ulikua hujui taarifa ikufikie kwamba bingwa wa Kagame Cup ataondoka na pesa kiasi cha $10,000 pamoja na kikombe. Tuendelee kufatilia mashidano haya hadi tujue nani ataondoka na kitita hiki.
Heshima ya timu pamoja na pesa hizi zinaweza kwa kiasi kikubwa kusaidi uendeshaji wa club na mambo mengine.

No comments:

Post a Comment