Meneja wa West Bromwich Albion Tony Pulis amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Februari Ligi England Barclays Premier League ambaye alichaguliwa kukinoa Kikosi hicho tangu Mwezi Januari mwaka huu 2015 na kuiongoza Timu hiyo pasipo kufungwa mwezi Februari.
Tony Pulis ameiongoza West Brom na Mwezi jana Januari hakufungwa hata bao moja.
Straika wa West Brom Brown Ideye akishangilia walipoitandika Swansea City bao 2-0 mwezi huo Januari na hapa akishangilia na mwenzie Morrison.
No comments:
Post a Comment