Shrikisho la Mpira wa Miguu nchini
TF, leo hii limepokea maombi toka Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika
Mashariki na Kati (CECAFA), likiitaka Tanzania kuwa mwenyeji wa mashindano hayo
ngazi ya vilabu yatakayotimua vumbi kuanzia mwezi Julai mwaka huu.
Kufuatia maombi hayo ya uenyeji wa
michuano ya CECAFA kwa ngazi za vilabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati (Kagame
CUP), TFF inatafakari juu ya maombi hayo na itayatolea maamuzi.
No comments:
Post a Comment