Blogroll

KWA MAWASILIANO ZAIDI TUWASILIANO KUPITIA BARUA PEPE pallangyorachel@yahoo.com AU NIPIGIE KUPITIA NAMBARI 0715187511

Pages

Monday, March 2, 2015

ILIKUWA ZAIDI YA HABARI SHEREHE YA WAMILIKI WA BLOG SERENA

http://1.bp.blogspot.com/-xI-Jr-F9f0I/VPI_91wgq2I/AAAAAAAHGqk/vPtRwWg4Zj0/s1600/unnamed%2B(65).jpg
Sehemu ya Wamiliki wa Blogs mbali mbali hapa nchini wakiwa kwenye picha ya pamoja na Mgeni Rasmi katika hafla maalum ya mwaka kwa Tanzania Bloggers Network,ambaye ni Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT),Ndg. Kajubi Mukajanga pamoja na baadhi ya wadhamini waliofanikisha hafla hiyo,iliyofanyika usiku huu kwenye Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam.


Wamikili wa blog wakiwa kwenye picha ya pamoja


  Mkongwe kwa maswala ya kublog hapa nchini,Ankal Issa Michuzi akifafanua jambo kwa baadhi ya wageni waalikwa juu ya kukutana kwao kwenye hafla hilo iliyofanyika usiku huu kwenye hoteli ya Serena,jijini Dar es salaam.

No comments:

Post a Comment